Mhe. Charles Chizeba alitembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia. Ikiwa ziara binafsi Mhe.Charles Chizeba alifanya mazungumzo na Mhe. Balozi na kusalimia watendaji wa Ubalozini.