Recent News and Updates
Mhe Balozi Dkt Ramadhan Dau akutana na Mhe Rusdi Kirana Balozi wa Indonesia .
Alhamisi tarehe 30 Januari 2020, Mhe Dkt Ramadhani Kitwana Dau, Balozi wa Tanzania nchini Malaysia ambaye pia anawakilisha Indonesia alimkabidhi Mhe Rusdi Kirana Balozi wa Indonesia nchini Malaysia Filamu za kutangaza utalii wa… Read More
Utaratibu wa kupata pasipoti mpya
Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti aliyonayo ili kununua… Read More