Huduma kutoka Benki tofauti kwa watanzania wanoaishi nje ya nchi zinapatikana sasa kwa kupitia TDH (Tanzania Diaspora Hub).

Pitia baadhi ya viambatisho hapo chini kuona fursa za kuwekeza nyumbani.