Ubalozi wa Tanzania Kuala Lumpur Malaysia umepokea na kuwkaribisha Ubalozini viongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na  wahadhir wa vyuo vikuu vya Dodoma na Mzumbe  waliokuja Malaysia kwa ziara maalum ya kikazi kwa lengo la kupata mashirikiano  mbali mbali katika  elimu.