Ujumbe wa Chuo Kikuu cha UniSZA kutoka mji wa Terenganu wamekuja kutembelea Ubalozi wa Tanzania hapa nchini Malaysia na kutoa shukrani  kutokana na ziara uliofanyika na Ubalozi wa Tanzania katika mji wa Terenganu. - hapa Kuala Lumpur Malaysia