MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA TANZANIA
(TANTRADE)



MUHTASARI WA MIKATABA YA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA KIPINDI CHA MAONESHO 46 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM BAADA YA KONGAMANO LA BIASHARA TAREHE 05.07.2022

MIKATABA ITAKAYOSAINIWA NI PAMOJA NA:
NA MAKAMPUNI AINA YA BIDHAA/HUDUMA THAMANI
1. Bodi Ya Nafaka Na Mazao Mchaganyiko (Mnunuzi) Na
Izina Farm (T) Limited (Muuzaji)
Mahindi Meupe yaliyovunwa 2001 Tani 5000 TZS 835,000/ Kwa tani moja sawa na Jumla ya
TZS 4,175,000,000/=

2. Bodi Ya Nafaka Na Mazao Mchaganyiko (Mnunuzi) Na
Nngine General Supplies Import and Export Co. Limited
(Muuzaji)
Maharage ya Soya
(260 MTS).
TZS 1,700 / Kwa kilo
Sawa na Jumla ya TZS 442,000,000/= x 12

3. Bodi Ya Nafaka Na Mazao Mchaganyiko (Mnunuzi) Na
Mt and David Co. Ltd
(Muuzaji)


Mchele
(40,000 MTS).
Tshs 2,000,000/= /Kwa Metric Tani.
Sawa na Jumla ya
Tshs 80,000,000,000/=

4. Bodi Ya Nafaka Na Mazao Mchaganyiko (Mnunuzi) Na
Winter falls Ltd (Muuzaji)


Mahindi Meupe Toni 100,000 kwa mwaka .

Bei ya mahindi kwa kilo ni TZS 800.
Sawa na Jumla ya TZS 80,000,000,000/=
5. Taasisi ya Uhandisi na usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)(Muuzaji) na Chama cha Waokaji Tanzania (TBA)(Mnunuzi) Matengenezo ya Machine na Mitambo ya uokaji kwa wanachama 15,000 Gharama ni Tshs 100,000,000 kwa mwaka
6. Shirika la Kuudumia Viwanda vidogo vidogo (SIDO) (Muuzaji) na Chama cha Waokaji Tanzania (TBA) (Mnunuzi) Huduma ya mafunzo ya uendeshaji mitambo kwa wanachama 15,000
Gharama 2,250,000,000/= kwa mwaka
7 Kampuni ya Shandong Wuzheng Group Company Limited (Muuzaji) na Wanunuzi watanzania
Maguta yenye Injini Tshs. 1,550,000, 000/= ndani ya mwaka mmoja
8 Kampuni ya Shandong Jinhua Iron & steel Co.,LTD ya China (Muuzaji), Kampuni ya GSB Marts Doors Limited ya Tanzania (Mnunuzi) Tani 27 za Coil za mfumo wa vyombo vya ubaridi US $ 364,500 sawa na Tshs.844,138,260 /=

9 Kampuni ya East Africa Commercial and Logistics Limited ya Dar es Salaam (Muuzaji), Kampuni ya EFL COMPANY LTD ya Dar es Salaam (Mnunuzi) Cartoon za mbao kwa ajili ya Urembo wa Sakafu na Kuta za nyumba containa 20 US $ 515,700 sawa na

Tshs1,101,473,316/=
10 Kampuni ya Shandong Sishui Haiyun Food Processing Machine Co.,LTD ya China (Muuzaji), na Kampuni ya HALCE GROUP LTD ya China kwa niaba ya wateja wengine wa Tanzania (Wanunuzi) Mashine za Kukoboa na Kusaga nafaka set 100 ndani yam waka mmoja $570,900
Tshs. 1,321,633,500
JUMLA Tshs. 176,646,245,076/=