BW. AHMAD IRHAM IKMAL HISHAM, MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MALAYSIA,
ALIPOFIKA KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA HAYATI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI, RAIS WA AWAMU YA PILI, WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA KUALA LUMPUR.

