Kikao cha pamoja baina Ubalozi na Chuo Kikuu cha Sultan Zainal Abidin (UniSZA) kilichopo Terenganu.
Lengo la mazungumzo kutafuta mashirikiano kwenye elimu ngazi ya Degree, Master degree na PhD. Pia kujenga uwezo kwa watendaji wa Serikali na taasisi binasfi kwenye fani mbali mbali.
